05 Oct 2009....The US$200 000 assistance by the Tanzanian government has been availed at a time consultations for the 2010 fiscal policy framework are underway in various sectors of the economy......
Tanzania Bwana...! Bado tu hatujaacha wema wa mshumaa? ... Kuwamulikia wengine huku wenyewe tunateketea? Hivi kweli nchi hii na umaskini ilionao inathibutu kutoa msaada kwa nchi nyingine? Inashangaza kweli kweli.
Inawezekana pia jamaa walishatusaidia msaada wa namna hiyo.Ila si mbaya kugawana nao umaskini
Kutoa ni moyo...huo ndo utanzania halisi
hii nchi bwana ina vituko viiiingi kila kukicha, watoto wetu wanakaa chini madarasani, nchi iko gizani, wanafunzi wanakosa mikopo ya elimu ya juu, hospitali hazina dawa, vijijini hakuna dispensary na wazazi wana kufa wakijifungua kwa kukosa usafiri wa kuwafikisha mahali pa usalama, what a joke? I am tired of this non sense.