Mwendazake alijinasibu mzalendo, ila akaendekeza matumizi magari kifahari na misafara ya kifalme, Suluhu ni Katiba Bora, tuwe na mipango endelevu.Katika viongozi wahaliasia Mwambe na Bashe nawaheshimu Sana.Mapato yatokanayo na Tozo yamefikia wapi? makusanyo ya kupitia Luku?
Mrejeo wa budget umelenga kukusanya zaidi ama kurekebisha/kuboresha kilichokusanywaaa
Ila kiuhalisia kuna matukio/shughuli za taasisi za serikali zina matumizi yasiyo ya lazima
Muwe mnaona aibu basi- mnategemea nini wajati toto mlililipigia kelele na likapunguzwa kwa 30%. Kianachofuta baada ya nachinga kutolewa kwenye mitaa na kusitishwa kwa elimu bure. Kwa watoto ulionao utakosa hela ya bundle ni ndio utakuwa mwisho wapo kwenye mitandaoBudget deficit wakati kibubu kinajazwa na tozo ambayo wanyonge wanapigwa roba ya mbao, au mimi ndo sijui na uchumi pori wangu huu....
Wewe ni lijinga, hatukuwahi kuwa na huo mtindo kwa DKT JPM. He was a BABA.Mwendazake alijinasibu mzalendo, ila akaendekeza matumizi magari kifahari na misafara ya kifalme, Suluhu ni Katiba Bora, tuwe na mipango endelevu.Katika viongozi wahaliasia Mwambe na Bashe nawaheshimu Sana.
True !Serikali imefilisika. Pesa hakuna. Waache matumizi yasiyo ya msingi na wao, maana serikali inapoteza fedha nyingi kwenye mambo yasiyo ya maana.