Tanzania hadi 2020 haina barabara ambayo ni Expressway au Freeway

Tanzania hadi 2020 haina barabara ambayo ni Expressway au Freeway

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
Wote tunatambua kwamba ili Barabara iwe expressway au freeway highway lazima ikidhi vigezo.

Kenya wana Mombasa Expressway na Uganda wana Entebe Expressway.

Tanzania hakuna barabara yenye kiwango hicho hadi mwaka 2020.

Kimara kibaha ingeweza kuwa expressway lakini design iliyopo hai-qualify.

Tanroad mnakwama wapi?

20200924_215514.jpeg
20200924_215443.jpeg
 
Rais wa ujenzi wa barabara ambaye hapo kabla alikuwa waziri wa barabara hajawahi kuwaza hili. Anawaza utomvu wa korosho tu
 
Mombasa expressway wewe umeiona inakidhi? Wacha kujiadisia
 
Hii ni topic ya kitot sna...km ingekuw hakuna high way na hakuna hata mpango wa kujengwa pengine ungelewek....alafu unaleta viuchafu vya mombasa expressway....[emoji706]
 
Kila kitu kina kua driven by demand, capacity and priorities...km hakuna mahitaji na wala sio kipaombele why do we need one?for show off ama?
 
Chadema tumieni mbinu mpya..2015 mlisema Tz haina hata Ndege Moja, JPM akanunua mkanuna.
Leo mnasema hamna "Express way" Ikijengwa bado mtanuna. Watanzania washaa zoea utopolo wenu, tafuteni jipya
 
Nchi ilikabidhiwa kwa washamba na malimbukeni ambayo yako busy kueneza ukabila na ukanda pamoja na kufanya ufisadi wa kishamba eti hela za miradi fulani mikubwa ni marufuku kupita bungeni
 
Back
Top Bottom