WAkuu nimemsikiliza Naibu waziri wa elimu mh Mulugo akiwa tbc fm kuanzia saa tatu usiku huu, ni kweli anachokiongea hakuna jipya, R.I.P jackson Makweta waziri wa elimu kipindi cha mwl hawa wengine hohehahe.
Alinifurahisha aliposema mitihani ya Diploma inafanyika februari, yaani ni mtu ambae hajui kitu chochote na wala hajiandai.anapoenda kwa interview kama ile, kila swali akiulizwa lzm adese. Dah
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.