maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,749
- 2,319
Si tunachinja na kubanika maana nasikia ni watamu kuliko sungura... kasi yao ya kuingezeka itakuwa controlled vipi? Huko waliko wako controlled na nature hivyo kuleta balance ya ongezeko lao. Bila hivyo wanaweza kuleta maafa ukawakuta wamejaa hadi vyumbani!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] la kweli hili Mzee?Mnataka kuleta balaa la mzee mwinyi aliyeenda kuleta kunguru yamekua mengi hadi yanaiba vipande vya samaki na nyama
Sio hivyo tu hata vifunika papuchi wanabeba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] la kweli hili Mzee?