Tanzania hakuna FLYOVER. Yote ni madaraja

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Kuna mtu aliipenda sana sifa. Akatumia kila aina ya uwongo kuwalaghai wananchi ili ajipatie sifa.

Mchana kweupe tena bila ya aibu akajidai amejenga kwa fedha za ndani kile alichokiita flyovers pale Ubungo, Buguruni na Kurasini.

Ukweli ni kwamba haya yote ni madaraja ya juu sawa na lile daraja.la Manzese. Flyover kwa kawaida inapaswa kwnda umbali usiopungua km 3. Huko duniani kuna flyovers zinatoka Ubungo mpk Chalinze.

Huyu jamaa alikuwa muongo hatari.
 
I think China ndio inaongoza kwa flyovers duniani. Haya ya hapa ni matuta; linakunyanyua hapa linakurusha hapo.

Flyover you real fly hadi unajisahau uko juu! Flyover gani ni fupi kuliko madaraja yaliyo mengi nchini tukianza na daraja la Mkapa kule Rufiji.
 
Kuna mtu aliipenda sana sifa. Akatumia kila aina ya uwongo kuwalaghai wananchi ili ajipatie sifa.

Mchana kweupe tena bila ya aibu akajidai amejenga kwa fedha za ndani kile alichokiita flyovers pale Ubungo, Buguruni na Kurasini.

Ukweli ni kwamba haya yote ni madaraja ya juu sawa na lile daraja.la Manzese. Flyover kwa kawaida inapaswa kwnda umbali usiopungua km 3. Huko duniani kuna flyovers zinatoka Ubungo mpk Chalinze.

Huyu jamaa alikuwa muongo hatari.
Hujui kiinglish fly over ni njia inayopita juu ya nyingine
 
Kuna mtu aliipenda sana sifa. Akatumia kila aina ya uwongo kuwalaghai wananchi ili ajipatie sifa.

Mchana kweupe tena bila ya aibu akajidai amejenga kwa fedha za ndani kile alichokiita flyovers pale Ubungo, Buguruni na Kurasini.

Ukweli ni kwamba haya yote ni madaraja ya juu sawa na lile daraja.la Manzese. Flyover kwa kawaida inapaswa kwnda umbali usiopungua km 3. Huko duniani kuna flyovers zinatoka Ubungo mpk Chalinze.

Huyu jamaa alikuwa muongo hatari.
weka michoro tutofautishe itakuwa elimu kubwa
 
Back
Top Bottom