Hujui kiinglish fly over ni njia inayopita juu ya nyingineKuna mtu aliipenda sana sifa. Akatumia kila aina ya uwongo kuwalaghai wananchi ili ajipatie sifa.
Mchana kweupe tena bila ya aibu akajidai amejenga kwa fedha za ndani kile alichokiita flyovers pale Ubungo, Buguruni na Kurasini.
Ukweli ni kwamba haya yote ni madaraja ya juu sawa na lile daraja.la Manzese. Flyover kwa kawaida inapaswa kwnda umbali usiopungua km 3. Huko duniani kuna flyovers zinatoka Ubungo mpk Chalinze.
Huyu jamaa alikuwa muongo hatari.
Huyo mshamba wa chadema hajui chochoteHujui kiinglish fly over ni njia inayopita juu ya nyingine
weka michoro tutofautishe itakuwa elimu kubwaKuna mtu aliipenda sana sifa. Akatumia kila aina ya uwongo kuwalaghai wananchi ili ajipatie sifa.