Tanzania hakuna mpira, tunapoteza muda tu

Mimi ndo maana hata sishabikiagi ligi ya kipuuzi ya bongo, hata uniambie nitaje wachezaji watano kutoka simba au yanga siwajui. Naskiaga tuu mara sjui Ajibu, Chama, sjui Mkude lakini hata sjui kutofautisha wanacheza timu zipi. Manchester ntakutajia wachezaji hadi wa akiba. Nawajua hadi akina Giuliano Maiorana, Ralph Milne, Ryan Giggs n.k squad hiyo ya 1990-1991 Man U. Bongo miyeyusho saana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…