Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
Test drive unaifanyaje??Cybertruck ni gari ya kawaida sana, ni hype tu. Hii email nilitumiwa baada ya kufanya test drive ya Cybertruck wakataka nifanye demo drive ya model nyingine pia.
View attachment 2976368
Wanakupa unaliendesha, lengo ni kama utalipenda ununue.Test drive unaifanyaje??
Wapi hapo?Wanakupa unaliendesha, lengo ni kama utalipenda ununue.