Tanzania hakuna umakini tuelezane ukweli kwenye kila kitu

Tanzania hakuna umakini tuelezane ukweli kwenye kila kitu

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Siku moja watoto walikuja kunitembelea mwaka 2020 wakitoka USA .Bahati mbaya mtoto mwengine alikuwa anajisikia vibaya ikabidi nijifanye daktari wa kubumba nikampa dawa kwa mawazo ya maduka ya dawa.

Mambo yakawa mabaya ikabidi kuwasiliana na ubalozi wao nipate msaada maana watoto wangu sio raia wa hapa baba yao ndio nakomaa na ccm tu ikituzungusha.

Nusu nipigwe faini kwa nini nilijichukulia maamuzi bila kupeleka hospitali kupewa maelekezo.

Sio tu kwenye ili nimeona mambo mengi yani yani umakini kwenye maisha yetu ya kazi,utafutaji,afya na megine ni mdogo sana.

Hivi tungekuwa na sehemu ya kuvuna umeme nyuklia si tutngelipuka mapema kama kiwanda cha magodoro kinaungua tu itakuwa haya.
 
Back
Top Bottom