..., je swala la baadhi ya vyombo binafsi vya habari kuwa "coached" kuripoti yanayojiri Tarime kuhusiana na msiba huu wa Mh. Wangwe unalichukuliaje na uamuzi wa TBC1 kwenda kupiga kambi kule?!
Bring me up to speed on that, please. I've missed the details of what's happened on the "coached" front.
As far as journalists camping in Dodoma I don't have many qualms with that, on its face. But, like I said, I'm trying to apprise myself of the coverage b4 jumping the gun and starting to knock them unduly.
Nyenzo gani? Kwani tunaongelea mainjinia hapa wanaojenga madaraja au madaktari wanaofanya upasuaji?
Nyenzo gani wanahitaji hawa waandishi, kujua kuandika kunahitaji nyenzo zaidi ya ubongo mzuri na kujua kuutumia? Unataka kusema hawana vitabu? Au wanahitaji vitabu kujua kuwa mnapo fake kuandika habari tatu tofauti kutoka katika script moja you have to at least change it up a little?
Tell them Pundit.
They have disgraced this noble profession by falling into the whims of RA.They are a disgrace and an embarrasment.
Unahitaji nyenzo hadi kwenye kukosea jina la mtu?How stupid they must have been hata walishindwa ku re-arrange hiyo stori.
Ngoja tusikie what they will have to say hiyo kesho ila kama hata huyu Sakina Datoo yupo nitamwona bure kabisa maana ana kilele sana kuhusu hii profession.
...the following post by Kiranja prompted me to revisit this thread. Please have a look. https://www.jamiiforums.com/showpost.php?p=259629&postcount=16
Kila siku hapa Marekani magazeti makubwa kama hili la hapa (The Atlanta Urinal and Constipation- AJC) yanakosea majina ya watu na kufanya makosa mengine mengi tu. Lakini kwa vile wanajali kazi zao, huwa wanatenga ki-section ambacho huwa wanasahihisha makosa yao na kuomba radhi kwa usumbufu uliotokana na makosa yao. Kwa hiyo kufanya makosa si hoja, hoja ni umejifunza nini kutokana na makosa yako ili usiweze kurudia tena hayo makosa.