Tanzania handles 85% of cargo destined to Rwanda

Status
Not open for further replies.
hahahahaha, hiyo bigger airport terminal haijaanza kazi rasmi, acha kuweweseka, subiri tukianza kuitumia rasmi ndio uweze kusema, kama ambavyo tumefungua reli ya Dar - Kampala rasmi, matokeo yake ndio haya.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kweli baboon IQ SI ya geza ulole peke yake...tumia akili bro. Hebu tupatie data ya TEU za Dar Port mwaka huu tulinganishe na Mombasa.
Tunazungumzia kukamata mizigo ya Uganda na South Sudan, mambo yanakwenda vizuri sana
 
Tunazungumzia kukamata mizigo ya Uganda na South Sudan, mambo yanakwenda vizuri sana
South Sudan mshapekeka Tani ngapi(with data) sio kupanua mdomo...How many containers ukizingatia kutumia ushahidi sio bakuli.
 
Video, Twitter na picha za yellow jackets kando ya mchanga na matinga tushazoea, tunataka data sio maneno.
Hapo huyo meneja wa WFP ameshakupa data, au unahitaji data za waliokufa kwa njaa kule Turkana na Samburu?
1)85% ya Mzigo wa Rwanda
2) 20% ya Mzigo wa Uganda
3) 100% ya mzigo wa WFP
Hahahahaha
 
South Sudan mshapekeka Tani ngapi(with data) sio kupanua mdomo...How many containers ukizingatia kutumia ushahidi sio bakuli.
Acha ujinga wewe, nimekuonyesha hapo maandalizi ya kuchukua mzigo wa South Sudan, sasa wewe unaniambia tumechukua kiasi gani, mbona akili zako zimejaa kinyesi kiasi hicho?.

Huo mzigo wa WFP karibu wote una kwenda kuhudumia watu wa South Sudan, sasa unataka nikuambie nini zaidi ya hiyo clip inavyojieleza?
 
Hahaha mizigo 100% ya Rwanda ni sawa na ya kiambu county,,,na wanaume wanajisifu na tuichi tudogo,
 
Maandalizi yenu tumezoea SI hata ATCL mlifanya maandalizi Kisha mnaishia kuangukia pua...by the way mlinunulia ATCL betri? Na Mumbai mnaenda lini na mlituambia Mwezi wa Mei mnatua huko? 😁
 
Maandalizi yenu tumezoea SI hata ATCL mlifanya maandalizi Kisha mnaishia kuangukia pua...by the way mlinunulia ATCL betri? Na Mumbai mnaenda lini na mlituambia Mwezi wa Mei mnatua huko? [emoji16]
Tanzania sio failed state kama ninyi, hatuwezi kushindwa mradi tuliounzisha chini ya Magufuli, ninyi mumeshindwa kuendesha KQ, SGR, Galana kulalu, na Green field terminal.

ATCL ni miongoni mwa mashirika ya ndege machache sana yanayoendeshwa kwa ufanisi mkubwa Sana hapa Afrika, soma kwa makini hii habari ujionee hali ilivyo ATCL.
Magufuli Hoyeeeeeeee
 
Hahaha mizigo 100% ya Rwanda ni sawa na ya kiambu county,,,na wanaume wanajisifu na tuichi tudogo,
Vipi kuhusu mzigo wa South Sudan?. Ujinga wenu ndio unaowasababishia kushindwa kujitegemea na kukopa kila kitu, hadi wakopeshaji wamewachoka wameanza kuwakimbia, katika biashara huwezi kudharau mteja yeyote.

Kumbuka Rwanda ni mlango wa kuingilia DRC, Uganda ni mlango wa kuingilia SS, wenye akili ndio tunamtazamo huo.
 
Kwani Ug mnawapatia mizigo yao asilimi mia?
Aibu yenu pia
 
Hapo huyo meneja wa WFP ameshakupa data, au unahitaji data za waliokufa kwa njaa kule Turkana na Samburu?
1)85% ya Mzigo wa Rwanda
2) 20% ya Mzigo wa Uganda
3) 100% ya mzigo wa WFP
Hahahahaha
Sasa hiyo 100
Nimekuuliza Mumbai mnafika lini? mlitupanulia bakuli mwezi wa Mei mnatua huko.

Baboon IQ mbona unaniletea habari ya mwaka Jana 2018 August mlipokuwa mkipiga kelele na kuanzisha nyuzi kuwa By mwezi wa September 2018 mnaingia Mumbai na Guangzhou kichwa kichwa? Sasa ni mwaka moja baadaye na Ndege zenyewe hata betri hazina huku zikiota kutu 😁😁😁 Shenzi kabisa.
 
Baboon IQ Uganda ni mlango wa kuingia DRC.
 
Nani asome gazzeti la sisiem Una kichaa wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwani Ug mnawapatia mizigo yao asilimi mia?
Aibu yenu pia
Ug imepakana na Tanzania na Kenya hapa biashara inafaa kua 50/50 lakini Rwanda ambayo ni kama mkoa wa Tanzania iweje hawatumii bandari lenyu [emoji817]?uvivu wa sisiem[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Does Kenya share a border with Rwanda? Uganda shares mipaka with Kenya and Tanzagiza.
Mbona unatumia kichwa Kama kabati ya meno?? Tumia akili man wacha kuwa na IQ ya baboon.
Haya, south sudan share a border with you, lkn wapo radhi wachukulie dsm ipite Ug hadi kwao.
Unasemaje
 
Ug imepakana na Tanzania na Kenya hapa biashara inafaa kua 50/50 lakini Rwanda ambayo ni kama mkoa wa Tanzania iweje hawatumii bandari lenyu [emoji817]?uvivu wa sisiem[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ug imepakana na ziwa victoria. Haya, What about south sudan
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…