KingCobra95 JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 3,249 Reaction score 5,863 Nov 16, 2024 #1 Aristotle, the great philosopher, alisema unaweza kuainisha serikali zote duniani katika haya makundi sita. Mimi binafsi naona nchi yangu ipo kwenye Oligarchy.
Aristotle, the great philosopher, alisema unaweza kuainisha serikali zote duniani katika haya makundi sita. Mimi binafsi naona nchi yangu ipo kwenye Oligarchy.
GWAMAKA USWEGE JF-Expert Member Joined Feb 23, 2023 Posts 1,398 Reaction score 5,198 Nov 16, 2024 #2 A Kleptocracy, I suppose. We are worse than the Oligarchy.