Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Bongo ina wafanyabiashara wa Madini ya Dhahabu na Tanzanite lakini pia Wakandarasi wazawa ni wengi mno.This is a new trendView attachment 1456020
This is a new trendView attachment 1456020
Hahahaha, hao ni Knight Frank sio sisi.Tanzania pia trilionaire wako. Hakuna jambo geni.
Nashangaa wakisema Jeff Bezos atakuwa trillionaire wa kwanza. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hawa watu wameskia pesa ya madafu ya Zimbabwe na Tanzania kweli?
The estimations are made in dollars, ZERO BRAIN !!Tanzania kila mtu ni millionaire sawa na Uganda na other LDC Nations... joto la jiwe si runinga/TV set huko kwenu ni mamillioni ya madafu cash inabidi ubebe hela kwa mangunia ama mna noti za 100,000 tzsh? [emoji16]
Very true but my point is still very much valid π
Mbona unateseka?Very true but my point is still very much valid [emoji6]