Tatizo kama ripoti ilivyoonyesha si la Tz tu, ni la dunia nzima. Kuna mtandao wa kimafia wa kidunia ambao ndio una miliki makampuni makubwa ya madini na mafuta ulioamua kujifaidisha kwenye rasilmali za asili. Mtandao huu umejaa mayahudi na baadhi ya wanasiasa na wafanya biashara wa marekani, canada, australia, south africa (white) na uk. Pia wamo familia ya bush. anadhani hamjasikia kuw bush pere (senior) aliuza mgodi wa dhahabu kule marekani kwa barrick gold kwa $10 million lakini mgodi ulikuwa na faida ya $10 billion, of course ilikuwa skendo kule marekani. Mafia hawa wanatumia sana-wameweka watu wao katika senior position za WB na IMF and WTO etc, mmoja wao ni watu kama Paul Wolfowitz, mafia mkubwa.
Nchi zilizofaidi ni zile zilizoanza zamani kama botswana. Lakini nyingine zote zilizochelewa ilikula kwao.