Kibosho1
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 2,621
- 4,293
Kuna watu tayari wana imani kubwa juu ya awamu ya 6, lakini tujiulize je anatumia katiba ipi? Ile ile au amekuja na yake? Basi kaa ukijua mabadiliko ni machache sana.
Binafsi nachokiona kwa Samia ni ubinadamu, utu na usawa, kikanda, kieneo na kidini, haya mambo tuliyakosa sana kwa mtangulizi wake. Ujeuri, ukaidi, sifa, mihemko, uvunjifu wa sheria iliwachosha sana watanzania wengi.
Akija malaika mf. Gabriel akitawala kwa katiba hii wapo watakosema mbona katoka mbinguni sio mtanzania huyu, wengine watahiji mpaka jina ilimradi tu basi.
Bila katiba mpya mambo ni yale yale.