P J O
Senior Member
- May 3, 2024
- 189
- 264
Katika historia ya nchi yetu, kumejawa na watu mbali mbali waliotikisa vyombo vya habari Kwa kufanya mambo makubwa Kwa ajili ya nchi yetu katika nyanja mbalimbali ikiwemo wapigania uhuru, wanamichezo, wavumbuzi na kadhalika.
Katika global stage, wenzetu Wana national archives inayoweka record ya matukio Yao na matukio ya watu mbalimbali na hata kwenda mbali na kua na tovuti zinazowaelezea watu hao walifanya Nini hivyo wanatambulika kimataifa Kwa Yale waliofanya.
Hii inasabishwa zaidi na ubovu wa mfumo wetu wa elimu hasa katika historia, tunatuma muda mwingi darasani kusoma lakini coverage ya usomaji wa historia yetu ni ndogo sana na hauko up to date.
Historia ya Magufuli, Mwinyi, Salim Salim, Mwanariadha Filbert Beyi, Bibi Mongela, John Malechela, wapiganaji wa vita vya Uganda na wengine wengi hawajawa honored vizuri ipasavyo na huenda wangekua wanatunzwa vizuri zaidi kama taifa lingekua lina tunza historia vizuri na kuwathamini watu waliofanya mambo makubwa Kwa nchi yetu.