Matulanya Mputa
JF-Expert Member
- Aug 14, 2023
- 245
- 655
Wataalamu wa Sheria mtusaidie kwakuwa uchaguzi 2020 haukuwa uchaguzi kulingana na maelezo ya Marko Henry Ng'umbi na Nape etc kuwa serikali ndiyo ilipanga. Je, kuna uhalali wa kuwa na Serikali hii kwakuwa viongozi waliopo walirithi na walitokana na uchaguzi wa 2020?
Pia wabunge, madiwani ni batili?
Kama ni batili wanasheria fungueni kesi mahakama itoe uamuzi kuwa 2020 katiba ilivunjwa na Tanzania bara haikuwa na uchaguzi.
Pia wabunge, madiwani ni batili?
Kama ni batili wanasheria fungueni kesi mahakama itoe uamuzi kuwa 2020 katiba ilivunjwa na Tanzania bara haikuwa na uchaguzi.