Matulanya Mputa
JF-Expert Member
- Aug 14, 2023
- 245
- 655
Kwanini umefika hitimisho Kwa kutumia watu wajinga wajinga kama nape', Kwamba watu 2 out 60M ndo wanaamua uhalali au uharamu wa uchaguzi!?DC wa Longido vs Nape etc
kuna watu mko nyuma mno nnji hii dah🐒Wataalamu wa sheria mtusaidie kwakua uchaguzi 2020 haukuwa uchaguzi kulingana na maelezo ya DC wa Longido vs Nape etc kuwa serikali ndiyo ilipanga je kuna uhalali wa kuwa na serikali hii?
Kwakua viongozi waliopo walirithi na walitokana na uchaguzi wa 2020.
Pia wabunge, madiwani ni batili?
Kama ni batili wanasheria fungueni kesi mahakama itoe uamuzi kuwa 2020 katiba ilivunjwa na Tanzania bara haikuwa na uchaguzi.
2020 kulikuwa na uchafuzi uliopitiliza. MUNGU akaamua ugomvi!Wataalamu wa Sheria mtusaidie kwakuwa uchaguzi 2020 haukuwa uchaguzi kulingana na maelezo ya Marko Henry Ng'umbi na Nape etc kuwa serikali ndiyo ilipanga. Je, kuna uhalali wa kuwa na Serikali hii kwakuwa viongozi waliopo walirithi na walitokana na uchaguzi wa 2020?
Pia wabunge, madiwani ni batili?
Kama ni batili wanasheria fungueni kesi mahakama itoe uamuzi kuwa 2020 katiba ilivunjwa na Tanzania bara haikuwa na uchaguzi.
Serikali iliyopo madarakani ni haramu, na kwa maelezo ya DC mtumbuliwa ni kuwa hadi sasa maandalizi ya uchafuzi mwingine 2024 na 2025 tayari yamekamilika ikimaanisha kuwa tunakwenda kuwa na serikali haramu nyingine 2025. Maoni yangu ni kuwa badala ya kutumia mamia ya mabilioni ya kodi zetu kwa maigizo ya kile kinachoitwa uchaguzi usiwepo uchaguzi tena CCM indelee kutawala kimabavu na hizo hela zilekezwe kwenye huduma za afya na elimu.Wataalamu wa Sheria mtusaidie kwakuwa uchaguzi 2020 haukuwa uchaguzi kulingana na maelezo ya Marko Henry Ng'umbi na Nape etc kuwa serikali ndiyo ilipanga. Je, kuna uhalali wa kuwa na Serikali hii kwakuwa viongozi waliopo walirithi na walitokana na uchaguzi wa 2020?
Pia wabunge, madiwani ni batili?
Kama ni batili wanasheria fungueni kesi mahakama itoe uamuzi kuwa 2020 katiba ilivunjwa na Tanzania bara haikuwa na uchaguzi.
Kwamba wapiga kura walikuwa 60m? Wapiga kura hawakufika 15m, na bado idadi hiyo ilipikwa.Kwanini umefika hitimisho Kwa kutumia watu wajinga wajinga kama nape', Kwamba watu 2 out 60M ndo wanaamua uhalali au uharamu wa uchaguzi!?
Wapi nimeongea juu ya wapiga kura?Kwamba wapiga kura walikuwa 60m? Wapiga kura hawakufika 15m, na bado idadi hiyo ilipikwa.
Hao walioongea huo utoto walikuwa wanaongelea sensa au uchaguzi?Wapi nimeongea juu ya wapiga kura?
Uchaguzi kwa level ya Trump ulifanyika.Wataalamu wa Sheria mtusaidie kwakuwa uchaguzi 2020 haukuwa uchaguzi kulingana na maelezo ya Marko Henry Ng'umbi na Nape etc kuwa serikali ndiyo ilipanga. Je, kuna uhalali wa kuwa na Serikali hii kwakuwa viongozi waliopo walirithi na walitokana na uchaguzi wa 2020?
Pia wabunge, madiwani ni batili?
Kama ni batili wanasheria fungueni kesi mahakama itoe uamuzi kuwa 2020 katiba ilivunjwa na Tanzania bara haikuwa na uchaguzi.
NAPE NA MKUU WA WILAYA WAMEZINGUA SANA AISEE.SIJUI WALIKUWA WAMEVUTA AINA GANI YA ILE KITU.Wataalamu wa Sheria mtusaidie kwakuwa uchaguzi 2020 haukuwa uchaguzi kulingana na maelezo ya Marko Henry Ng'umbi na Nape etc kuwa serikali ndiyo ilipanga. Je, kuna uhalali wa kuwa na Serikali hii kwakuwa viongozi waliopo walirithi na walitokana na uchaguzi wa 2020?
Pia wabunge, madiwani ni batili?
Kama ni batili wanasheria fungueni kesi mahakama itoe uamuzi kuwa 2020 katiba ilivunjwa na Tanzania bara haikuwa na uchaguzi.
Ni mahakama ipi ipo huru kwa kesi hiyo? Hadi sasa hakuna kumbukumbu ya kura za Urais wa uchaguzi huo lakini hamna tatizo lolote na nchi inasonga mbele kimaendeleo.Wataalamu wa Sheria mtusaidie kwakuwa uchaguzi 2020 haukuwa uchaguzi kulingana na maelezo ya Marko Henry Ng'umbi na Nape etc kuwa serikali ndiyo ilipanga. Je, kuna uhalali wa kuwa na Serikali hii kwakuwa viongozi waliopo walirithi na walitokana na uchaguzi wa 2020?
Pia wabunge, madiwani ni batili?
Kama ni batili wanasheria fungueni kesi mahakama itoe uamuzi kuwa 2020 katiba ilivunjwa na Tanzania bara haikuwa na uchaguzi.
Maendeleo gani? Labda wewe na familia yakoNi mahakama ipi ipo huru kwa kesi hiyo? Hadi sasa hakuna kumbukumbu ya kura za Urais wa uchaguzi huo lakini hamna tatizo lolote na nchi inasonga mbele kimaendeleo.