Tanzania hatuna mashindano ya "Spelling Bee"

Tanzania hatuna mashindano ya "Spelling Bee"

bbwaoy

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2015
Posts
466
Reaction score
468
Huwa na tamani sana kuona vijana wakionyesha waledi wao katika kutambua herufi za Maneno magumu/ vocabularies kwa lugha ya kizungu.

Spelling Bee kwa wenzetu imewasaidia vijana wadogo kuweza kukuza lugha na matamshi kiujumla ila kwa Tanzania sija wai kuona hichi kitu....

Unaweza kutembelea tovuti mbalimbali naku jionea vijana wadogo walivyo na uwezo wa juu waku weza kuchambua herufu zilizopo kwenye neno ngumu/vocabularies.
 
Kipindi fulani wakati azam inaanza nilifikiria kitu kama hicho kingekuwa kizuri hasa ukizingatia wanavifaa mobile vya kufanikisha hilo national wide. Bado kuna nafasi nzuri ya kulifanikisha hilo.
 
Back
Top Bottom