Hawaendani na mahitaji ya soko la sasa most of them are just reporters not journalists,Kwani hao Waandishi wenyewe Vyeti Wanavyo au Kanjanja.
Tunafuata parliamentary democracy kutoka ulaya naona kama ni best reference kwetu kama Tz labda tu si wafuate na hu mfumo wao wa ParliamentKwahiyo kinachofanyika Ulaya ndio kina kua na uhalali wa kufanyika na sehemu zingine?
Kila jamii ina taratibu zake na ustaarabu wake,
Unasifia wabunge wa Ulaya kuvua nguo?
NakaziaKwani hao Waandishi wenyewe Vyeti Wanavyo au Kanjanja.