johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ninakumbuka enzi za chama kimoja palikuwepo Gazeti la Jumuiya ya Wafanyakazi likiitwa Mfanyakazi.
Niseme lile Gazeti lilikuwa Huru sana katika kutuhabarisha na hapajatokea tena Gazeti kama lile.
Kwa sasa Vyombo Vyote vinatoa Habari za kupelekewa Ndio sababu Vichwa vya habari kwenye magazeti Yote hufanana.
Kwa sasa hakuna Mwandishi au Chombo cha habari kinachotafuta habari Wote wanasubiri maelekezo ya Watawala na Wanasiasa.
Mungu Ibariki JF.
Jumaa kareem!