johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
CCM yako niyo imetufikisha hapa, halafu washenzi wako hawataki katiba mpya. Mwaka huu lazima ushungi ayanyweNinakumbuka enzi za Chama kimoja palikuwepo e Gazeti la Jumuiya ya Wafanyakazi likiitwa Mfanyakazi
Niseme lile Gazeti lilikuwa Huru sana katika kutuhabarisha na hapajatokea tena Gazeti kama lile
Kwa sasa Vyombo Vyote vinatoa Habari za kupelekewa Ndio sababu Vichwa vya habari kwenye magazeti Yote hufanana
Kwa sasa hakuna Mwandishi au Chombo cha habari kinachotafuta habari Wote wanasubiri maelekezo ya Watawala na Wanasiasa
Mungu Ibariki JF
Jumaa kareem!
Leo mko jimboni kwa Boss mstaafu wa Bavicha Dr Katambi ππππCCM yako niyo imetufikisha hapa, halafu washenzi wako hawataki katiba mpya. Mwaka huu lazima ushungi ayanywe
Dogo ananenepa Domo tu!!Leo mko jimboni kwa Boss mstaafu wa Bavicha Dr Katambi ππππ
Zama hizi Mwandishi anatoa Habari ya uhakika kabisa mfano Waraka wa TEC halafu baada ya Nusu Saa anaufuta na kuukana kabisa kwamba haujui πππJo umenikumbusha Stanley Katabalo.
Kama akiamka Leo atadhangaa sana kwamba Loliondo Bado si mali ya watanzania kupitia Serikali yao.
Ya Mwandishi au Mtangazaji?Picha
Kwa kweli umesema jambo la kutafakarisha sana. Inakuwaje vichwa vya habari vya magazeti vifanane kama siyo habari za kupewa Kwa maelekezo?Zama hizi Mwandishi anatoa Habari ya uhakika kabisa mfano Waraka wa TEC halafu baada ya Nusu Saa anaufuta na kuukana kabisa kwamba haujui πππ
Unaweza kukuta ni zile chanjo alizokataza Shujaa ππDogo ananenepa Domo tu!!
πππ
ππππUnaweza kukuta ni zile chanjo alizokataza Shujaa ππ
Kwa ujumla kizazi cha waandishi habari mahiri katika nchi hii kiliondoka na waandishi nguli kinaNinakumbuka enzi za Chama kimoja palikuwepo e Gazeti la Jumuiya ya Wafanyakazi likiitwa Mfanyakazi
Niseme lile Gazeti lilikuwa Huru sana katika kutuhabarisha na hapajatokea tena Gazeti kama lile
Kwa sasa Vyombo Vyote vinatoa Habari za kupelekewa Ndio sababu Vichwa vya habari kwenye magazeti Yote hufanana
Kwa sasa hakuna Mwandishi au Chombo cha habari kinachotafuta habari Wote wanasubiri maelekezo ya Watawala na Wanasiasa
Mungu Ibariki JF
Jumaa kareem!
Ni kweli lilikuwa ni an independent media Media kuikosoa Serikali: Je, Tanzania tuna Strong Media au Strong Journalists wenye Uwezo huo?Ninakumbuka enzi za Chama kimoja palikuwepo e Gazeti la Jumuiya ya Wafanyakazi likiitwa Mfanyakazi
Nikweli ila yalitokea mengine, Mtanzania, Rai, Mwanahalisi, etcNiseme lile Gazeti lilikuwa Huru sana katika kutuhabarisha na hapajatokea tena Gazeti kama lile
Ni kweli na si kweli, sometimes vichwa vya habari vinafanana kwa coincidences onlyKwa sasa Vyombo Vyote vinatoa Habari za kupelekewa Ndio sababu Vichwa vya habari kwenye magazeti Yote hufanana
Sii kweli na sii wote!, mfano mzuri ni mimi mwenyewe, natafuta habari mwenyewe na sio za kuletewa!.Kwa sasa hakuna Mwandishi au Chombo cha habari kinachotafuta habari Wote wanasubiri maelekezo ya Watawala na Wanasiasa
Mungu ibariki JFMungu Ibariki JF
Jumaa kareem!
Kuna siku nilikupa kongole pale "Simba Grill" Lakini siku hizi ukitaka kusema lazima upite uchochoroni.Duh...!
P
Tena ndiyo imekuwa ya hovyo, lakini mitandao ya kijamii imekuwa mbadalaHata ITV ya Mengi sio ya hawa madogo.
Vyombo vingi vya habari siku hizi havilipi mishahara waandishi wake hivyo waandishi hutegemea wanasiasa kuendesha maisha yaa.Tena ndiyo imekuwa ya hovyo, lakini mitandao ya kijamii imekuwa mbadala