Tanzania hii inashida gani ?

Tanzania hii inashida gani ?

sikia admin siku hizi pipo wanafuata uelekeo wa upepo,kipindi nipo o'level niipenda sana CBG coz nilikuwa na interest za geology ila tokeo la f6 lilipotoka nilijikuta nahamishia matumaini yangu kwenye udaktari na ufamasia so nikajaza bpham ya stjohn kama chaguo la kwanza &now namaliza mwaka wa2 sasa..kusap na kudisco umejikatakia mwenyewe
 
Asante kwa mchango wako,,,,,,ila kama unaenjoy unachokisomea sasaiv basi ni moja ya eneo la interest zako kuna wa2 wanafata sehemu kwavile kasikia kuna pesa na qualification anazo badae maumivu tu,,,,,have a great evening my brother
 
yeah naenjoy tena sana tu coz katika cbg hakuna somo lililokuwa kushoto &im proud to be a prospective pharmacist..nice evening too
 
Back
Top Bottom