sikia admin siku hizi pipo wanafuata uelekeo wa upepo,kipindi nipo o'level niipenda sana CBG coz nilikuwa na interest za geology ila tokeo la f6 lilipotoka nilijikuta nahamishia matumaini yangu kwenye udaktari na ufamasia so nikajaza bpham ya stjohn kama chaguo la kwanza &now namaliza mwaka wa2 sasa..kusap na kudisco umejikatakia mwenyewe
Asante kwa mchango wako,,,,,,ila kama unaenjoy unachokisomea sasaiv basi ni moja ya eneo la interest zako kuna wa2 wanafata sehemu kwavile kasikia kuna pesa na qualification anazo badae maumivu tu,,,,,have a great evening my brother