Tanzania, Hips na Makalio ndo kigezo cha kumfanya mtu awe Celebrity?

Kwani Tanzania nzima ni yeye pekee mwenye nayo makubwa?

Yule kajua jinsi ya kudili na medias kupata umaatufu, followers wengi ili ifanikishe mipango yake.

Amefanikiwa, maana ukiangalia humu kuna thread zaidi ya 8 zinamzungumzia, tusomjua tunaenda insta tunaona matangazo ya duka lake etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…