Tanzania, Hips na Makalio ndo kigezo cha kumfanya mtu awe Celebrity?

Yale matako ni ya show tu. Hakuna mwanaume timamu anaweza kuoa design hizo. Lakini wengi tunapenda sana kwa burudani ya muda mfupi zikitutembelea.
 
Aliitwa bungeni huyuu wewe na madegree yako hayana maana mbele ya takoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119] Tz hii nchi bhanaa.. Hapo wakubwa hasaa wanakulaaa tena usikute bashite

Mkuu hayo unayoyazungumza ni ya kweli au?
 
.
 
Ndo hivyo media zetu utashi wake umeishia hapo! Hayo huwezi kuyakuta Radio one stereo/itv
We umemuona jackline silemu wa ITV? Ukimuona huyo manzi nakuhakikishia utafuta comment yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…