Tanzania hizo ndizo matatu zenu kumbeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mmmh bado mna ushamba wa kubandika marangi rangi na mapicha
Hakuna cha kubandika hapo, hiyo ni sanaa ya graffiti, permanent spray paint. Hizo sio zile sticker za daladala eti, "Jino moja mswaki wa nini?" [emoji1] Rangi tu hapo, achia mbali customized rims na interior, screens na system za mziki inawagharimu karibia laki tano, KES, sio hela za madafu. Yote hayo ni kwa manufaa ya 'comfort' na starehe za wateja wao.
 
Ndio tabu ya kuokota picha mitandaoni,yaani vipicha vyako vitatu ndio ume conclude haya ndio matatu yetu.Hebu siku ukija Dar njoo stand za mabasi ya Mwenge na Ubungo ujionee daladala zetu.

Yaani ulichofanya wewe ni sawa sawa na mimi nipige picha zile slums za Kibera,alafu niseme haya ndio makazi ya wananchi wa Kenya.


Halafi hiyo migari mnaichora chora kama ngozi ya Mamba.
 
πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ˜³πŸ˜³πŸ˜³πŸ˜³ comfort kwenye daladala daah. Tulishatoka huko mkuu. Enzi hizo tulikua tunaita video coach. Siku hizi safari ni safari cha muhimu kufika salama
 
Wakenya ni ndugu zetu. Ila tuseme ukweli hakuna watu washamba huku duniani na limbukeni kama hawa majirani zetu. Tunapendana kiaina ila nyi washamba sana yaani. Hizo daladala zenu zinaonyesha kiwango cha ushamba wenu, no wonder hamwishi kuishobokea TZ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…