Kama UDSM ni chuo cha kumi kwa ubora Afrika, naanza kuelewa kwa nini maendeleo hayafiki bara hili
Hiyo ya mwisho Tanzania hata haimo, duh! :confused2:Hizi rank ziko nyingi mno, lakini ninaweza kuiamini kidooogo link ya mwisho, sababu ni kwamba somalia haimo katika top 100.
African Universities Ranking (2012) « « MyWeku MyWeku
Top 100 Universities in Africa | 2013 World University Ranking
Best Top 100 Colleges and Universities in Africa 2012 - 4icu.org University Web Ranking - Technology Africa News - Tech Blog - Tech Africa | Technology Africa News
Top 10 Universities in Africa | World Ranking Guide
Top universities, colleges in Africa 2012 - 2013 - Top Study Links
Hiyo ya mwisho Tanzania hata haimo, duh! :confused2:
Inategemeana ni vigezo gani vimetumika. Tusiwe wabishi for the sake of it. Nimesoma hapo pia. Nimesoma pia vyuo vingine lakini bado UDSM ni chuo mojawapo kizuri kabisa Africa.Nimefungua orphanage ya watoto yatima. Nimepita hapo mlimani na sijasoma Oxford
Nayajua mapungufu yote ya pale mlimani na ndio maana nasema kama UDSM ni top 10 Africa nzima basi no wonder Africa tupo hapa tulipo
Nimehudhuria lectures hapo mlimani nikiwa namsikiliza lecturer huku nimesimama nje ya seminar room manake darasa limeshona na wengine wamekaa chini
Majority ya lecturers ni pumba tupu
I have only been there once for a conference, the fellows impressed me.
Sas upande wa education yenyewe na researches hapo siwezi kusema.
But walio andika hii report watakua wamechunguza sana (From SA I think)
Khaaa! nilidhani na wewe utakuja kuitetea University yetu?
Katika hali ya kawaida Universities are research oriented wakati colleges ziko job market oriented. Kama wanafunzi hawajui wanacho kitafuta wakati wanajiunga basi ndio hayo matatizo hutokea. Mimi nilihakikisha kua researches zangu zote zinahusiana na kazi niliotaka kuifanya hivo nilijijengea knowledge kubwa katika kile ambacho nimekusudia. When I came out of Uni it was easier for me to get a job. you know what I mean? :-*Sio hivi hivi tuu. Nakumbuka enzi hizo Mzumbe wakati huo hata bado haijawa university ilikuwa inapiga bao UDSM mitaani.
Aliyepata Advanced Diploma ya Mzumbe alikuwa kwenye nafasi ya kupata kazi kuliko aliyepata degree UDSM kwenye course hiyo hiyo.
Unlike Mzumbe, UDSM walikuwa wanafundisha theories zaidi, but not how to put those theories into practice. Nakumbuka wengi walikuwa wanalalamikia sana hii kitu.
Watu walikuwa wakimaliza Mzumbe wanaanza kazi bila hata further training. It was interesting aliyemaliza Mzumbe anapangiwa kituo kimoja cha kazi na aliyemaliza UDSM. Mara nyingi the latter didn't know how to put his/her theories into practice.
Sijui kwa sasa hali ikoje, but I hope watakuwa wame-improve kwa kujaribu ku-integrate practice into what what they teach.
Hapa ndo Busta Rhymes anakwambia "let me check your criteria"...
Katika hali ya kawaida Universities are research oriented wakati colleges ziko job market oriented. Kama wanafunzi hawajui wanacho kitafuta wakati wanajiunga basi ndio hayo matatizo hutokea. Mimi nilihakikisha kua researches zangu zote zinahusiana na kazi niliotaka kuifanya hivo nilijijengea knowledge kubwa katika kile ambacho nimekusudia. When I came out of Uni it was easier for me to get a job. you know what I mean? :-*
Hilo tatizo lipo nchi zote (wanafunzi kuingia chuoni bila kujua watafanya nini later au what skills they need for their dream job). Lazima UDSM waweke taratibu za kuwasaidia vijana kuchagua wisely na kujenga that passion with project based exams ambazo zinamwezesha mwanafunzi kua na practical knowledge mapema, kabla hata hajatoka chuoni.Ni kweli universities are research oriented lakini pia they need to prepare their students to enter the job market. They need to design their courses in such a way to reflect the need of the job market. Not all university students want to researchers.
Inawezekana kabisa kuwa wanafunzi wengi hawajui wanachokitafuta. Nilipojaza form ya kuomba kuijiunga na UDSM, nilitakiwa nijaze course tatu, ili nikikosa ya kwanza, wanipe ya pili na nikikosa ya pili wanipe ya tatu.
Lakini nilijaza course moja tuu niliyokuwa naitaka, though wengi walinikosoa kuwa I was not serious. Sasa kama wewe ulijaza course tatu na imebakia nafasi moja tuu unafikiri watampa nani kati ya wewe na mimi? Wewe si uko tayari kusoma course number two or three? I only want course number one. Guess what admission officer will do. lol
Pia muhimu kukumbuka kuwa asilimia kubwa ya wanaojinga na vyuo vikuu kwa shahada ya kwanza hawajawi kufanya kazi. Kwa hiyo, wengi hawataweza kuhusisha course na kazi, though some may have a dream to work in a particular industry.
Kwa kuongezea unaweza kumkumta mtu is so passionate about studying and ultimately working in a particular industry, lakini kutokana na hiyo industry kutokuwa na job opportunities anaamua kusomea course nyingine ambayo itampa kazi kwa haraka.
Matokeo yake tunaishia kuwa na wataalam ambayo hawapo passionate with what they do.