Tanzania iangalie upya swala hili la Kielimu-Tutapotea huko tuendako...

ynyend1

Member
Joined
Nov 19, 2012
Posts
73
Reaction score
13
Tanzania,mwanafunzi akifeli, kidato cha nne anapangiwa, ualimu shule za msingi. Akifeli kidato cha sita eti ndio amepata sifa za kuwa mwalimu wa sekondari, je SHULE zetu hazihitaji mtu mwenye uwezo kitaaluma? Nafikiri ualimu usitazamwe kama kitu cha ziada, bali uwe kama taaluma nyingine mfano UdaKtari, Engineer, Uhasibu e.t.c. ukimkuta mtu anayesomea ualimu, atakuambia ni bahati mbaya tu nasomea ualimu, maana nilishindwa kufauli mtihani wa NECTA VIZURI, swali ni kwamba ualimu hauhitaji waliofaulu vizuri?
 
1. Mshahara wa mwalimu ni Tsh ngapi?
2. Mazingira ya kufanyia kazi walimu yakoje?
3. Nani mwenye passmark nzuri ataenda ualimu?
 
kaka ni inchi ipi duniani inayo chukua mwalimu au walimu wanalipwa kulikuko fani kama za udakitari au wahandisi? naomba usi lopoke kwa hadisi za kitaa useme kitu chenye uhakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…