Tanzania iisaidie Congo DR mgogoro unaoendelea nchini humo

Tanzania iisaidie Congo DR mgogoro unaoendelea nchini humo

NZHYANZHYO

New Member
Joined
Sep 12, 2024
Posts
1
Reaction score
0
Naiomba Serikali ya Tanzania ifanye jambo Congo, kwa haya yanayoendelea pia Tanzania haipo salama hata kidogo na sijui ni kwanini Tanzania inaonekana kama kuna kitu nyuma yake ni kama imerudi nyuma kidogo kwenye mgogoro huu.

Tanzania mna jukumu kubwa na mtegemewa kufanya maamuzi magumu ya kuisaidia Congo kuna kila dalili ya mapinduzi yanaenda kutokea muda wowote na yakitokea Tanzania tutaathirika pakubwa.

TANZANIA TUNAUWEZO FANYENI MAAMUZI MAGUMU JUU YA CONCO.
 
Back
Top Bottom