Tanzania ilipocheza na Zambia kinafiki Mayele wenu alijifanya kutupa moyo watanzania, haya mwambieni atutie moyo tena dhidi yao kesho

Cognizant

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2022
Posts
626
Reaction score
1,409
Sasa kama anaipenda sana Tanzania kwanini asiende tu uhamiaji Tanzania na akaombe uraia kabisa na asiendelee kutuchosha kwa kujifanya anatupenda sana watanzania na Tanzania yetu?
 
Kwa hiyo aache nchi yake akasapoti nchi nyingine? Ili iweje? Mtoa mada atakuwa na shida mahara fulani. Mayele ameishi Tanzania lazima aonyeshe upendo pindi Tanzania inapocheza na timu nyingine, ila linapokuja suala la taifa au club yake lazima kipaumbele iwe taifa na club yake.
 
hivi kuna kiswahili cha neno mahara kama damn fool mmoja wewe ulivyoandika hapa?
 
Wewe popoma uwe na brekii na maisha binafsi ya watu..... Unampangiaje Jambo la kufanya?. Umeathirika na upasuaji wako wa kuongeza makalio uliofanya.
 
Umechelewa kujua.

MAYELE ANAIPENDA NCHI YAKE KULIKO NCHI YA SA100.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Sasa kama anaipenda sana Tanzania kwanini asiende tu uhamiaji Tanzania na akaombe uraia kabisa na asiendelee kutuchosha kwa kujifanya anatupenda sana watanzania na Tanzania yetu?
CDF kasema muondoke, mnachukua ajira serikalini na mnashika nyadhifa za juu za uongozi
 
Back
Top Bottom