Tanzania iliwahi kumkataa Balozi wa Zambia nchini

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
18,960
Reaction score
67,654
Ni baada ya jina la balozi huyo kuwa na maana mbaya kwa lugha ya kiswahili nchini Tanzania. Kumbe jina linaweza kukunyima ulaji.

D9DBD0F7-88BD-4D39-B697-388B1C522A1C.jpeg
 
Kuna Mkufunzi mkoja Afisa wa Jeshi kutoka Zambia akiwa anafundisha Monduli alimkataa Cadet mmoja wa Tanzania kwa majina yake, jamaa ilibidi abadili majina ndio asajiliwe.
 
Leta hayo majina tujue kama hakuna uonevu
 
Nimeona niulize hukuhuku kuliko kuanzisha uzi kwa jambo hili dogo; Ni hivi, nauliza, Polepole aliishaenda kuripoti katika kituo chake cha kazi? Au yupo wapi kwa sasa?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Bado anaaga,wiki iliyopita alikuwa dodoma kumuaga spika,siki hii nadhan qtaenda chattle kwa mke wa mwendazake!!
 
Back
Top Bottom