Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Timu nyingi zilizoenda ni za kawaida sana. Stars itaishangaza africa tena.
Tumeshinda na tunastahili kucheza Afcon. Lakini kusema Uganda sio wazuri unakosea. Labda sio wazuri kulinganisha na Egypt, Morocco,Algeria. Uganda wako namba 67(au 76 not sure) Tanzania tupo namba 137 kwa ubora. Pia magoli 3 haya tuliyofunga ndio magoli peke Uganda kafyngwa kampeni nzima.Amunike alizingua mechi ya Lesotho kwao nasi tungevuka mapema bila presha hao Uganda mnaowasifia sio wazuri kivile ni wa kawaida hata mechi ya Uganda sisi ndio tulikosa magoli ya wazi...
Mkuu Uganda wa kawaida kabisa huku kwetu Kenya ndio wapo juu hata ukifatilia mechi zao...mambo ya ranking katika soka yanabaki on paper ila kwenye mechi lolote linatokea Brazil katoa sare ya kulazimisha na PANAMA,Argentina kafungwa na Venezuela na Croatia ashawahi itoa German nusu final kombe la Dunia ubora wa FIFA walikua mbali sana...Zambia yupo juu kwenye viwango vya FIFA vya ubora kabaki na nduguye Mozambique,Nigeria ashawahi kuwa wa tano Africa kwenye ubora akakosa kushiriki AFCON...Tumeshinda na tunastahili kucheza Afcon. Lakini kusema Uganda sio wazuri unakosea. Labda sio wazuri kulinganisha na Egypt, Morocco,Algeria. Uganda wako namba 67(au 76 not sure) Tanzania tupo namba 137 kwa ubora. Pia magoli 3 haya tuliyofunga ndio magoli peke Uganda kafyngwa kampeni nzima.
Katika mechi 53 tulizocheza na Uganda jana ulikuwa ushindi wa 8 tu
Ukijua ranking zinapatikana vipi hutasema on paper. Lolote kutokea kwenye mechi haliondoi ukweli kuwa timu fulani ni bora kuliko timu fulani.Mkuu Uganda wa kawaida kabisa huku kwetu Kenya ndio wapo juu hata ukifatilia mechi zao...mambo ya ranking katika soka yanabaki on paper ila kwenye mechi lolote linatokea Brazil katoa sare ya kulazimisha na PANAMA,Argentina kafungwa na Venezuela na Croatia ashawahi itoa German nusu final kombe la Dunia ubora wa FIFA walikua mbali sana...Zambia yupo juu kwenye viwango vya FIFA vya ubora kabaki na nduguye Mozambique,Nigeria ashawahi kuwa wa tano Africa kwenye ubora akakosa kushiriki AFCON...
Hao hao wanasema on paper sio Mimi Cape Verde ya 76 lakini imebaki Mkuu ambacho inatakiwa ujue Timu yeyote kiwango kinapanda na zingine kushuka lakini point za ranking zipo juu ndio maana Timu bora kama Zambia katika kundi lao hawajapita na Cape Verde ila kwenye ranking za FIFA wapo juu...ranking sio kigezo cha matokeo mpira lolote linatokea ndio maana nasema hao Uganda wachezaji wao wazuri ni kipa anaedaka mamelodi na yule winga anachezea Azam,Okwi Simba na kiungo wao mmoja anacheza ligi ya Morocco... Nasimamia Wa Tanzania wana wachezaji wazuri wengi kuliko Uganda ya sasa hivi...Ukijua ranking zinapatikana vipi hutasema on paper. Lolote kutokea kwenye mechi haliondoi ukweli kuwa timu fulani ni bora kuliko timu fulani.
Hao hao wanasema on paper sio Mimi Cape Verde ya 76 lakini imebaki Mkuu ambacho inatakiwa ujue Timu yeyote kiwango kinapanda na zingine kushuka lakini point za ranking zipo juu ndio maana Timu bora kama Zambia katika kundi lao hawajapita na Cape Verde ila kwenye ranking za FIFA wapo juu...ranking sio kigezo cha matokeo mpira lolote linatokea ndio maana nasema hao Uganda wachezaji wao wazuri ni kipa anaedaka mamelodi na yule winga anachezea Azam,Okwi Simba na kiungo wao mmoja anacheza ligi ya Morocco... Nasimamia Wa Tanzania wana wachezaji wazuri wengi kuliko Uganda ya sasa hivi...Ukijua ranking zinapatikana vipi hutasema on paper. Lolote kutokea kwenye mechi haliondoi ukweli kuwa timu fulani ni bora kuliko timu fulani.
Ubora wa Timu sio Constant unapanda na kushukua ndio maana rankings zao zinabadilika kila mwezi kutokana na mechi zinavyochezwa na kutoa matokeo ingawaje mechi chache haziipandishi katika ranking Timu...Jana Croatia kafungwa na Hungary wa 87...mpira naufatilia sana sio huu tuu wa Afrika ranking sio kigezo cha matokeo...Ukijua ranking zinapatikana vipi hutasema on paper. Lolote kutokea kwenye mechi haliondoi ukweli kuwa timu fulani ni bora kuliko timu fulani.
Akili za chama chetu pendwa hazitaki mawazo mbadala wanaweza hata kukumiminia motoNimemkumbuka marehemu Sam wa Ukweli na wimbo wake Hata Kwetu wapo hasa pale anaimba
"Wenye roho mbaya na majungu sio kwenu tu hata kwetu wapo ..."
Naitunza hii comment, ntaifumua mashindano yakianzaYule dogo form 4 lazima atage
BAADA YA MATOKEO
Yule dogo aliiba pepa, huko advance anakoenda mtaniambia
BAADA YA MATOKEO
Yule dogo kapita kimungumungu tu, pepa yao haikukazwa, chuo lazima adisco
BAADA YA MATOKEO
Yule dogo kahonga sana malectures mpaka katoboa, hana kitu kichwani yule, namjua mimi
Ngoma inakuwa ngumu zaidi pale anaeyasema hayo ni mtu wako wa karibu sana.
Ziba masikio, songa mbele.
Mwishowe utawasikia, mi nilijua tu, jamaa mkali sana. Yani dah, mi nilijua aisee. Hongera sana.
Museveni aliwaagiza wadrawNa kipindi tunadraw nao kwao walikuwa chini ya kiwango ?? Acha umatope ndugu
Sent using Jamii Forums mobile app
Khanga...na tutashinda tuone hicho kijiba chako cha roho kitakupeleka wapi