JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Ni mara ngapi umewahi kumsaidia mtu kufanya kitu fulani katika Simu yake?
Japokuwa Wananchi wanamiliki Vifaa vya Kidigitali, bado wengi wanashindwa kunufaika kikamilifu kutokana na kukosa Ujuzi sahihi
Unadhani tumepiga hatua katika utoaji wa Elimu ya Kidigitali?
Kuboresha Upatikanaji wa Intaneti ndio njia pekee watu wengi wanaweza kunufaika nayo
Ni muhimu Huduma ya Mtandao ipatikane wakati wote, na kwa gharama nafuu
Kwa upande wako, kikwazo kikubwa katika kufurahia Intaneti ni nini?