J JamiiTalks JF Advocacy Team Joined Aug 7, 2018 Posts 685 Reaction score 1,124 Feb 13, 2023 #1 Ni mara ngapi umewahi kumsaidia mtu kufanya kitu fulani katika Simu yake? Japokuwa Wananchi wanamiliki Vifaa vya Kidigitali, bado wengi wanashindwa kunufaika kikamilifu kutokana na kukosa Ujuzi sahihi Unadhani tumepiga hatua katika utoaji wa Elimu ya Kidigitali? Kuboresha Upatikanaji wa Intaneti ndio njia pekee watu wengi wanaweza kunufaika nayo Ni muhimu Huduma ya Mtandao ipatikane wakati wote, na kwa gharama nafuu Kwa upande wako, kikwazo kikubwa katika kufurahia Intaneti ni nini?
Ni mara ngapi umewahi kumsaidia mtu kufanya kitu fulani katika Simu yake? Japokuwa Wananchi wanamiliki Vifaa vya Kidigitali, bado wengi wanashindwa kunufaika kikamilifu kutokana na kukosa Ujuzi sahihi Unadhani tumepiga hatua katika utoaji wa Elimu ya Kidigitali? Kuboresha Upatikanaji wa Intaneti ndio njia pekee watu wengi wanaweza kunufaika nayo Ni muhimu Huduma ya Mtandao ipatikane wakati wote, na kwa gharama nafuu Kwa upande wako, kikwazo kikubwa katika kufurahia Intaneti ni nini?
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Feb 13, 2023 #2 Gharama kubwa za bando
Kaka yake shetani JF-Expert Member Joined Feb 1, 2023 Posts 5,771 Reaction score 14,732 Feb 13, 2023 #3 Unazungumza ukiwa ofisini na bwana nape mkipata chai na vitafunwa vya kutosha au?