Tanzania imepoteza $370M miaka ya Makanikia


Hoja yako nini?
 
Alitaka mabadiliko positive,haya ya magufuli ni mabadiliko ila mabadiliko negative ndo maana hata kile kidogo tulichokuwa tunapata sasa hamna.madini yanabewa na pesa hatupati,tunaishia kuuza sura kwenye luninga na kilo 35 za dhahabu.Hivi ndege ukitua pale Buzwagi inapakia kilo 35 tu?
 
Ahsante sana Zitto Kabwe...
Sasa tunatokaje hapa tulipo?

Kwanza inabidi kuwe na Timu ya Wataalamu huru kufanya uchunguzi wa kina wa miaka 3 ya Makanikia tumepata nini na tumepoteza nini. Timu hiyo ipendekeze hatua za kuchukua kurekebisha makusa.
 
Mabadiliko ya hovyo
 

Umedai Zitto ni muongo (amepotosha); sasa ili awe amepotosha au ameongopa kweli wewe tuletee hapa TAKWIMU mbadala (ila ziwe za kuaminika). Usilete porojo, we need numbers. Zitto katuambia (kwa kutoa namba) kuwa serikali imepoteza mapato (na akatoa kiasi kilichopotea kwa miaka husika). Wewe umeita huo ni UONGO; kwa hiyo wewe tupe takwimu zinazoonyesha kuwa si kweli kuwa kuna mapato yaliyopungua. Ukifanya hivyo utakuwa umethibitisha uongo wa Zitto.
 
Hoja yako nini?
Hoja yangu ni kwamba wewe kama msomi na mtu uliyejitanabaisha kama mtu uliyetaka yafanyike mageuzi katika sekita ya Madini unafahamau kabisa jaribio lolote la kufanya mageuzi hayo lazima lingeleta athari katika sekita. Sasa unapokuja kulalamika tena eti Kuna hasara kwangu mimi naona ni unafiki. Mchumi Kama wewe ulipaswa ujue hayo. And on this kwangu amefanikiwa, hajafanikiwa siyo issue. Issue ni kwamba amethubutu na wewe kwa hili ulipaswa uwe naye bega kwa bega lakini ndio kwanza ukaanza kupinga tena.
 
Haya yote ni ili iweje,kumchafua Magufuli?Hamtafanikiwa,he is here to stay.Tena nashauri miaka yake kumi ikiisha wananchi waulizwe,wakikubali apewe vipindi vingine viwili vya miaka mitano mitano.Tunataka kizazi cha mafisadi kibadilishwe mindset.
 
Amewekaje mambo sawa?
 
akili za JPM anazijua mwenyewe kwakweli. unapoteza USD 370M ili upate USD 300M
 
Sheria zimesaidia nini? umeona rasmu ya makubaliano kati ya barick na serikali,hizo sheria hazijawekwa kando? je mkataba wetu na malawi juu ya resource za mto songwe sheria hizo zimetambuliwa? Mambo ya Chato na international issues ni vitu viwili tofauti
 
Unathubutu kwa kujikata mguu na wewe unataka recognition?
Acha basi kujibandika qouma usoni.
 
Mbali ya mapato ya mrahaba, kuna kodi za watumishi, mapato wafanyabiashara, viwanda ,transporter,wazabuni wategemezi watumishi multiplier effect ilikuwa kubwa sana. Bado siamini uchambuzi huu wa Zito nasubiri waziri husika,ama mkuu wetu atupe faida na tija.
 
Kilichofanya ufikie hitimisho hilo Nini!? Kwani swala hili limeshaisha!? Mimi nadhani alipaswq kusubiri hadi pale tutakapoambiwa swala limeisha na yale watakayokubaliana yaanze kutekelezwa ndio hapo tinaweza kusema kama njia zilikuwa sahihi au si sahihi. Tatizo lako na wewe na Zitto mnataka kila mtu arifikirie na kutenda kama mnavyofikiria nyie. Kwa ufupi nyie ni wabinafsi!
 

Mkuu achana na huyo muha,
Hawa jamaa wa kigoma(sio wote) anaweza kuwa shabiji wa manchester na kavaa jezi kabisa ya man u. but akiingia kwenye eneo ambapo akakuta hakuna mpinzani wa man u basi gafla anakuwa upande wa timu nyingine ilimradi aanzishe varangati la ubishi...hawa ndo akina zitto.
 
Wee buku saba acha kupiga pambio hapa huyo jiwe amerekibisha au ndo kavuruga kabisa jinga kabsa ww
 
Endelea kuhamisha goli. Kwahiyo wewe na Zitto mlitaka zifanyike changes kwenye sekita na katika harakati za kufanya changes hizo isitokee athari yoyote. Tunaweza kupima kama Kuna hasara au faida baada ya kile kitakachotokana na mabadiliko hayo kuanza kutekelezwa, kabla ya hapo kufikia hitimisho kuwa Kuna hasara ni uongo wa mchana kweupe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…