Tanzania imeshika namba moja kwenye sera mbovu za usajili wa laini za simu


Hongera Magufuli; viva awamu ya 5. Watanzania tunapaswa kujipongeza kwa mafanikio haya ya kujivunia.
 
skupingi mkuu
 
Haya matafiti haya sio sana ya kuyaamini me naona usalama wa vifaa vyetu vianze na sisi watumiaji!!!

The administration plans to place visa restrictions limits on travelers from seven new countries: Belarus, Eritrea, Kyrgyzstan, Myanmar, Nigeria, Sudan and *Tanzania*.
 
Pascal Mayalla
 
Hawa mabeberu wa Marekani walikuwa wanatutafuta kwa muda mrefu, wakitutafutia sababu ya kulianzisha, wamekosa wanataka kulazimisha na tulizungumza humu

Wazalendo tupo na hatuta kubali.
P
 
Soma tena uelewe
 
Soma tena uelewe

Liky, we ndio hujaelewa. Soma kichwa cha uzi halafu linganisha na kilichoandikwa ndani yake ndio uonenani kaelewa kati yako na yeye.
Usajili wa simu unahusiana vipi na privacy ya mtu?
 
Ngoja tuwasubiri wazelendo nyie mtafanyaje wakiamua kuingia
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…