Hizo Kampuni ndio zinalipa Timu kutengeneza jezi, atakaelipa dau kubwa ndio anapewa Tenda, Adidas waliwahi kuwa watengenezaji wa jezi wa muda Taifa stars lakini wakashindwa kuingia makubaliano.Hivi Tanzania kupitia TFF imeshindwaje kutoa tenda kwa makampuni makubwa yenye brandy zinazofahamika ili kutengeneza jezi za timu ya Taifa (Taifa stars) badala ya ilivyo sasa jezi kutengenezwa na Sandaland the only one....
Si mpenzi wa kuvaa hizo nguo lkn ile waliyoivaa siku wanacheza na Misri match ya kirafiki hata nikiikuta imeanikwa kwenye kamba yangu bila kujua ni ya nani naichoma moto. Jezi ni mbaya kwa muonekano mpaka inazidiwa na enzi za FAT.Hivi Tanzania kupitia TFF imeshindwaje kutoa tenda kwa makampuni makubwa yenye brandy zinazofahamika ili kutengeneza jezi za timu ya Taifa (Taifa stars) badala ya ilivyo sasa jezi kutengenezwa na Sandaland the only one!
Wakati mataifa mengine ya Africa yaking'ara kwenye AFCON na nembo za jezi kama Nike, Puma, Adidas, n.k. sisi tumempa tenda Sandaland the only one.
Ningependekeza tuachane na huo umasikini kama taifa tuko mbele zaidi ya hapo. Tutengeneze vifaa vya michezo vyenye hadhi ya kimataifa kupitia kwa makampuni makubwa yenye uzoefu.
=brandHivi Tanzania kupitia TFF imeshindwaje kutoa tenda kwa makampuni makubwa yenye brandy zinazofahamika ili kutengeneza jezi za timu ya Taifa (Taifa stars) badala ya ilivyo sasa jezi kutengenezwa na Sandaland the only one!
Wakati mataifa mengine ya Africa yaking'ara kwenye AFCON na nembo za jezi kama Nike, Puma, Adidas, n.k. sisi tumempa tenda Sandaland the only one.
Ningependekeza tuachane na huo umasikini kama taifa tuko mbele zaidi ya hapo. Tutengeneze vifaa vya michezo vyenye hadhi ya kimataifa kupitia kwa makampuni makubwa yenye uzoefu.
Hivi unakijua unachozungumza?Hivi Tanzania kupitia TFF imeshindwaje kutoa tenda kwa makampuni makubwa yenye brandy zinazofahamika ili kutengeneza jezi za timu ya Taifa (Taifa stars) badala ya ilivyo sasa jezi kutengenezwa na Sandaland the only one!
Wakati mataifa mengine ya Africa yaking'ara kwenye AFCON na nembo za jezi kama Nike, Puma, Adidas, n.k. sisi tumempa tenda Sandaland the only one.
Ningependekeza tuachane na huo umasikini kama taifa tuko mbele zaidi ya hapo. Tutengeneze vifaa vya michezo vyenye hadhi ya kimataifa kupitia kwa makampuni makubwa yenye uzoefu.
Hana kitu chochote pumba tupu, hao wanaovaa Puma, Nike, Adidas wanalipwa na hayo makampuni kama sandaland anavyoilipa taifa stars (tff) sasa ni kampuni gani kubwa ipo tayari kuweka fedha kwa taifa stars ambayo kufuzu kwake tu ni tia majiMleta post ana kitu huyu asipuuzwe
Hamna mtengenezaji mwingine wa jezi ya Uingereza isipokuwa Umbro.Ningependekeza tuachane na huo umasikini kama taifa tuko mbele zaidi ya hapo. Tutengeneze vifaa vya michezo vyenye hadhi ya kimataifa kupitia kwa makampuni makubwa yenye uzoefu.
Bibi Kifimbocheza=brand
(brandy) ni kilevi fulani.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Hata bongo zozo huwa kiswahili kinamshinda sisi ni nani tusikosee mtupe break waalimu=brand
(brandy) ni kilevi fulani.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Kwa mtu anayefuatilia Mpira wa Tanzania halafu leo unailaumu TFF ya Karia utakuwa na Chuki binafsi. TFF hii imetangaza sana na kukuza soka letu? Jiulize tulishiriki lini AFCON? Hata hao Yanga mnaokesha kumsagia kunguni Karia mlikuwa hamjawahi shinda mchezo wowote wa Makundi ya Klabu Bingwa ila leo 2023 mlipata dhidi ya Medeama, Mmecheza Fainali ya Loosers, Simba kafika Robo Fainali ya CAF mara 5, Super League kacheza, Timu za Wanawake zimecheza ngazo zote leo Uje uwaponde TFF?TFF wanahomolaaaa mwisho mwisho.....maana bye bye.....wanahaha ubunge mwingine Tanga mwingine Kigoma
Sio umaskini ! Futa hayo mawazo ya kudanganywa kuwa ni umaskini .Hivi Tanzania kupitia TFF imeshindwaje kutoa tenda kwa makampuni makubwa yenye brandy zinazofahamika ili kutengeneza jezi za timu ya Taifa (Taifa stars) badala ya ilivyo sasa jezi kutengenezwa na Sandaland the only one!
Watu hawajali jezi ni biashara ya ela nyingi Tff itapata pato kubwa wanaangalia faida yao tu .
Na Kama sio 10% na unazi , ubunifu wao katika uendeshaji tff ni duni
Wakati mataifa mengine ya Africa yaking'ara kwenye AFCON na nembo za jezi kama Nike, Puma, Adidas, n.k. sisi tumempa tenda Sandaland the only one.
Ningependekeza tuachane na huo umasikini kama taifa tuko mbele zaidi ya hapo. Tutengeneze vifaa vya michezo vyenye hadhi ya kimataifa kupitia kwa makampuni makubwa yenye uzoefu.
Kwa upande wa Yanga Fc Karia hana mchango wowote chanya zaidi ya kutukandamiza kila anapopata nafasi. Karia alikuwepo kipindi Yanga inatembeza bakuli alifanya nini kutusaidia? Kama unataka kutoa sifa kwa mafanikio ya Yanga hasa ndani ya miaka hii 2 basi elekeza sifa hizo kwa Hersi, GSM na mashabiki wa Yanga Fc.Kwa mtu anayefuatilia Mpira wa Tanzania halafu leo unailaumu TFF ya Karia utakuwa na Chuki binafsi. TFF hii imetangaza sana na kukuza soka letu? Jiulize tulishiriki lini AFCON? Hata hao Yanga mnaokesha kumsagia kunguni Karia mlikuwa hamjawahi shinda mchezo wowote wa Makundi ya Klabu Bingwa ila leo 2023 mlipata dhidi ya Medeama, Mmecheza Fainali ya Loosers, Simba kafika Robo Fainali ya CAF mara 5, Super League kacheza, Timu za Wanawake zimecheza ngazo zote leo Uje uwaponde TFF?
KARIA kamwacha mbali sana MALINZI, TENGA nk hawakuwa na ushawishi.
Tusisubiri mtu afe ndio tumsifie, Karia is the best kwenye awamu zake.
Pale sunderland alibugi ile design ingefaa kuwa jezi za timu ya taifa ya RwandaSi mpenzi wa kuvaa hizo nguo lkn ile waliyoivaa siku wanacheza na Misri match ya kirafiki hata nikiikuta imeanikwa kwenye kamba yangu bila kujua ni ya nani naichoma moto. Jezi ni mbaya kwa muonekano mpaka inazidiwa na enzi za FAT.