Kuna viongozi walikuwepo Washington DC kutoka serikali ya JK kuomba Tanzania itolewe kwenye Black List ya madini ya USA. Congress iliweka hii list kwasababu madini mengi ya Diamond kutoka Congo yalikuwa yanapitia Tanzania kinyemela. Kama una Diamond zimetoka Tanzania sasa huwezi kuuza kwa kampuni ya marekani kihalali na bei ya chinichini ni ndogo sana. Mambo haya yanatokana na ufanisi mdogo wa serikali