vyovyote vile ila sheria ipo wazi..kama wewe ni malaya huna nafasi Tanzania.Meya Songoro alitaka kufunga Madanguro ya Wahaya pale Mwananyamala Aakashukiwana kitu kizito cha kijani ππ
Makamba sr Ohio ilimshinda haya mambo yako kimakafara zaidi bwashee π
Bila malaya makafara ya Siasa mtayafanyia wapi bwasheevyovyote vile ila sheria ipo wazi..kama wewe ni malaya huna nafasi Tanzania.
unamlaje kwamfano maana hayo macho lazima inyauke labda umle chumambogaKwa Martha Karua ni prostitute
kwani haiwezekani?Huyu alikuwa waziri serikalini, inamaana serikali ya Kenya inamawaziri malaya! Huku ni kutafuta ugomvi.
wavuta bhangi wana leseni? hawashikwi?Wana leseni? πΌ