Tanzania imo

Ukitaka kugundua hilo wala hupaswi kutumia nguvu na akili kubwa, angalia hata wale wanajifanya sijui kumwagilia moyo kumbe nyuso zao zinaongea huzuni tele
 
Haya nayo huwa mnayaamini?

Kwamba sisi tuko na huzuni kuwazid hadi Ukraine wanaomwagiwa makombora kila siku? Hadi Somalia, Afghanistan?
 
Haya nayo huwa mnayaamini?

Kwamba sisi tuko na huzuni kuwazid hadi Ukraine wanaomwagiwa makombora kila siku? Hadi Somalia, Afghanistan?
Ukraine wana vita, Somalia hali halisi inajulikana Tanzania je? Wewe huamini nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…