Tanzania yetu tangu Uhuru haikutokea umwagaji damu kwakuwa tupo na baba yetu marekani ,,pia RUSSIA hana maslahi na Tanzania kama ilivyo mmarekani , niseme tu kuwa BRICS VS G7 wakivurugana kwenye maslahi ndani ya nchi maana yake nchi hiyo itakuwa kama Syria hivi sasa,,,, Tz inaamani kwakuwa BRICS hawana maslah zaidi ,,, marekani wanatuibia alafu tunawapa pongezi kwa malipo yakutupa amani ya kinafiki, ,,