Azarel JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 28,916 Reaction score 40,479 Jan 12, 2019 #21 Ama kweli zamani JF ilikuwa ya hadhi ya kipekee japo sikuwa nimejiunga. Watu walikuwa wanaleta mada za maana na michango yenye hadhi na hawakimbilii ku like au kuona likes zina maana kivile. Mimi nimesoma hizi mada za 2009 na kuona tofauti kubwa sana na za sasa. Sent using Jamii Forums mobile app
Ama kweli zamani JF ilikuwa ya hadhi ya kipekee japo sikuwa nimejiunga. Watu walikuwa wanaleta mada za maana na michango yenye hadhi na hawakimbilii ku like au kuona likes zina maana kivile. Mimi nimesoma hizi mada za 2009 na kuona tofauti kubwa sana na za sasa. Sent using Jamii Forums mobile app