Tanzania ina majiji mangapi?

Y2k

Member
Joined
Apr 21, 2012
Posts
77
Reaction score
27
Habari za midahii wana jf.Mimi kama mtanzania ningependa kufahamu mchiyetu ina majiji mangapi kwani paka sasa nasikia ni matano, nayo ni Dar es salaam,Mwanza,Tanga,Arusha na Mbeya. Je ni vigezo gani vinatumika kuipa miji hadhi ya majiji? kwani nimetembea baadhi ya miji iliyopewa hadhi iyo isipokua Mbeya lakin ninachokiona naweza nikasema angalau majiji mawili matatu yanaweza kuwa na hadhi iyo. Dodoma bapo nimeona baadhi ya mabango wameandika weka jiji lako safi sasa sijajua napo pamepewa hadhi?. kwenu wana jf mnaweza kufunguka ili mnidadavulie zaidi
 
Vigezo vinavyo tumika ni vya kitanzania na sio vya ulimwengu. Hivyo usishangae kuona baadhi ya miji ni majiji tofauti na ulivyotarajia
 
Tanzania una jiji moja tu dar es salaam, hayo mebgine yaliwekwa ili cccm ipigiwe kura. zilikuwa sera ya ccm. TUPENI KURA TUTANGAZE MJI WENU KUWA JIJI. Tofauti na dar majiji mengine yapo kisiasa. sela za Mkapa.
 
Ivi kumbe tanga napo ni jiji?
 
majiji yapo marekani na hata sauz kwa madiba hapa tuna hata hadhi ya miji bado hatuna hata moja sio dar wala mwz ni vijiji tu
 
Tanzania una jiji moja tu dar es salaam, hayo mebgine yaliwekwa ili cccm ipigiwe kura. zilikuwa sera ya ccm. TUPENI KURA TUTANGAZE MJI WENU KUWA JIJI. Tofauti na dar majiji mengine yapo kisiasa. sela za Mkapa.

tanzania hakuna jiji hata moja labda dar salaam kwajinsi linavyokua linaweza kua jiji hapo baadae. eti tanga jiji mwanza jiji acheni utani nyie ivi majiji mnayajua????
 
Majiji matarajiwa kilimanjaro, iringa, dodoma, morogoro,. We subiri 2015 uone kabla ya uchaguzi chezea ccm wewe
 
Kiukweli wanaposema hadhi ya jiji cjui ila naona kama wengi wanakwenda kwenye magorofa ila ukweli naona ni idadi ya watu,mzunguko wa biashara hasa biashara za kimataifa!
 
Tanzania una jiji moja tu dar es salaam, hayo mebgine yaliwekwa ili cccm ipigiwe kura. zilikuwa sera ya ccm. TUPENI KURA TUTANGAZE MJI WENU KUWA JIJI. Tofauti na dar majiji mengine yapo kisiasa. sela za Mkapa.

Dubu hujui hata kuandika kiswahili , sera unasema sela! Je wewe unaweza kujua jiji ni lipi na kijiji ni kipi?
 
Kiukweli wanaposema hadhi ya jiji cjui ila naona kama wengi wanakwenda kwenye magorofa ila ukweli naona ni idadi ya watu,mzunguko wa biashara hasa biashara za kimataifa!

Matope you are quite right, kigezo si maghorofa bali ni idadi ya watu kama ulivyosema na uwezo wa utoaji wa huduma za jamii.
 
Brigadia General Hassan Ngwirizi ndio aliyeipa Tanga hadhi ya jiji wakati akiwa waziri wa TAMISEMI enzi za Mkapa kwa kuwa huko ndio kwao. Tofauti ya Tanga, Moro au Kilimanjaro mimi bado sijaiona mpaka sasa. In fact Tanzania hakuna mji wa wenye hadhi ya jiji kwa dunia ya sasa, hizo zote ni siasa tu
 

A city is a relatively large and permanent settlement.[SUP][1][/SUP][SUP][2][/SUP] Although there is no agreement on how a city is distinguished from a town within general English language meanings, many cities have a particular administrative, legal, or historical status based on local law.
For example, in the U.S. state of Massachusetts an article of incorporation approved by the local state legislature distinguishes a city government from a town. In the United Kingdom and parts of the Commonwealth of Nations, a city is traditionally a settlement with a royal charter.[SUP][1][/SUP] Historically, in Europe, a city was understood to be an urban settlement with a cathedral.
In the United States of America, the classification of population centers is a matter of state law; consequently, the definition of a city varies widely from state to state. In some states, a city may be run by an elected mayor and city council, while a town is governed by the people, a select board (or board of trustees), or open town meeting. There are some very large municipalities which label themselves as towns (such as Hempstead, New York, with a population of 755,785 in 2004 or Cary, North Carolina with a population of 112,414 in 2006 ) and some very small cities (such as Woodland Mills, Tennessee, with a population of 296 in 2000), and the line between town and city, if it exists at all, varies from state to state. The lack of a clear-cut definition of a city in the United States can lead to some counter-intuitive labeling; for example, before it was dissolved in 2002[SUP][48][/SUP] Maza, North Dakota, with only 5 inhabitants, was a city as by North Dakota law any incorporated location is deemed a city regardless of size. California has both towns and cities but the terms "town" and "city" are considered synonymous. The nation's top five largest cities are New York City, Los Angeles, Chicago, Houston, and Philadelphia.[SUP][49][/SUP]
In some U.S. states, any incorporated town is also called a city. If a distinction is being made between towns and cities, exactly what that distinction is often depends on the context. The context will differ depending on whether the issue is the legal authority it possesses, the availability of shopping and entertainment, and the scope of the group of places under consideration. Intensifiers such as "small town" and "big city" are also common, though the converse of each is rarely used.
Some states make a distinction between villages and other forms of municipalities. In some cases, villages combine with larger other communities to form larger towns; a well-known example of an urban village is New York City's famed Greenwich Village, which started as a quiet country settlement but was absorbed by the growing city.
In Illinois, cities must have a minimum population of 2,500 but in Nebraska, cities must have a minimum of only 800 residents. In Oregon, Kansas, Kentucky, North Dakota, Minnesota, and Iowa, all incorporated municipalities are cities. In Ohio, a municipality automatically becomes a city if it has 5,000 residents counted in a federal census but it reverts to a village if its population drops below 5,000.[SUP][50][/SUP] In Nebraska, 5,000 residents is the minimum for a city of the first class while 800 is the minimum for a city of the second class. The Constitution of Idaho makes no distinction between incorporated towns or cities.[SUP][51][/SUP]
In all of the New England states, city status is conferred by the form of government, not population. Town government has a board of selectmen or Town Council for the executive branch, and a town meeting for the legislative branch, but unlike the US Government, the executive acts only as an administrative body and cannot override the will of town meeting. New England cities, on the other hand, have a mayor for the executive, and a legislature referred to as either the city council or the board of aldermen.
In Virginia, all incorporated municipalities designated as cities are independent of the adjacent or surrounding county while a town is an incorporated municipality which remains a part of an adjacent or surrounding county. The largest incorporated municipalities by population are all cities, although some smaller cities have a smaller population than some towns. For example, the smallest city of Norton has a population of 3,904 and the largest town of Blacksburg has a population of 39,573. The other U.S. independent cities are Baltimore, Maryland; St. Louis, Missouri; and Carson City, Nevada.[SUP][52][/SUP]
In Pennsylvania, municipalites with more than 10 persons can incorporate as a borough. Any township or borough with a population of at least 10,000 can ask the state legislature to charter as a city. In Pennsylvania, a village is simply an unincorporated community within a township. Parker, Pennsylvania is known as the smallest city in the United States.

Wikipedia
 

Sory kaka huwezi kuifananisha Tanga eti na moro,dom ama kilimanjaro labda hujafika na kutembea unaiona juju tu ila mm nilishatembea mikoa yote na naijua kinyumenyume
 
Kuna mtu alishawahi anzisha thread kama hii mwaka 2009 akisema
Soma: https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/43525-ni-vipi-vigezo-vya-mji-kuwa-jiji.html
 
Vitakavyoamuliwa na wabunge viti maalum.
Waliomba mafao ya waastaa wenza, wameomba ndege ya kila kiongoi na pia wanaweza kuomba wilaya zigawanywe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…