Tanzania ina mipango ya kufikia uchumi wa kati miaka mitano ijayo, hivi Kenya tutakuwa level gani kwa kasi hii yetu?

Duh kwahiyo jamaa wanaongoza kwa kupokea misaada?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Tungekua mbali sana, sema tunaburuzwa na maelfu ya hawa watu ambao wameitoroka nchi yao na kujazana sana huku


https://www.facebook.com/video.php?v=10159392962280405
 
Hawawezi kujilisha wenyewe
Wana sherehekea Uchumi wa kati Hewa!!
Hawa jamaa vilaza sio mchezo
Ila wakenya nje ya jf wanajitambua sana
Kuliko haya yaliyomo humu
Hawa wa humu ni vilaza mnoo.
 
Yaani safari yenyewe ndefu, halafu kikubwa ambacho huwaponza hawa ni elimu na uzembe, wakifanyia kazi hivyo vitu viwili wanaweza wakanusia nyuma ya Kenya.
...na ushamba wa kiujamaa ujamaa pia. Umasikini(multidimension) @54% ya watanzania 60 million! Alafu atasikia mtu akikuambia eti GDP ya Kenya ni ya kwenye makaratasi. [emoji1] Sasa GDP yao kiduchu kwa nchi kubwa hivyo na yenye watu wengi kiasi hicho si ndio itakuwa ya hewa? Alafu GDP yenyewe inakuwa kwa rate ya 3-4%! πŸ˜€
 
Hawawezi kujilisha wenyewe
Wana sherehekea Uchumi wa kati Hewa!!
Hawa jamaa vilaza sio mchezo
Ila wakenya nje ya jf wanajitambua sana
Kuliko haya yaliyomo humu
Hapa Jf huwezi fahamu maisha ya mtu kwa kusoma jina lake. Watu wengi wanakuja huku kujifurahisha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…