Tanzania ina shida ya njaa kushinda Kenya..Its only the govt of Tz that lives in Denial...no given day have 200 people died of hunger in Kenya

mahindi debe moja ni tsh 3000-3500, njaa inatoka wapi we kitoto?
 
mtyela..utaelewa vp na wakati umekomaa na part one ya elimu ya bongo...part two ya kingereza imekushinda...bwahahaaaa...

elimu yenu ya kijinga ndio manake mko slow kuelewa...mtu unasoma shule kw lugha hii baada ya cha saba unabadilishiwa lugha na bado wabunge wenu wako mjengoni wanakenuwa meno tu
 
Handeni ni jimbo La mwigulu? Labda mwigulu wa Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutokea Dumila mpaka Naingia Tabora kuna viashiria vyote vya watu kufa njaa 2019/2020. Hali ya mazao ni mbaya sana mahindi yanakufa kwa kukosa mvua. Mna pita to Dodoma kila siku but hamsemi hilo. Tuendeleze unafiki kama wa kuikampenia Taifa Stars leo mechi ya mwisho. CCM HOYEEEE.
 
Watu wanalina barabarani!?
 
toka lini dodoma na singida walishawahi kuvuta mazao yakutosha? . umeenda rukwa, katavi, iringa, songea, morogoro, ku aigqa, kiteto, kilosa, na handeni?
 
we kitoto, mimi sio mvivu. Nimepiga kitabu na mpaka leo hua nikipata nafasi ya kujifunza naongeza maujuzi.
 
Write your reply...
wakenya ni wajinga sana wao wanaona mtu akijua kiingereza ndo ameelimika,huu ni mtazamo wa karne iliyopita, komora be updated man,you always make your fellow kenyans feel ashamed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…