SoC04 Tanzania ina ulazima wa kusimama imara katika nyanja za ubunifu wa kiteknolojia

SoC04 Tanzania ina ulazima wa kusimama imara katika nyanja za ubunifu wa kiteknolojia

Tanzania Tuitakayo competition threads

Ndunguru Charles

New Member
Joined
May 2, 2024
Posts
1
Reaction score
0
Kuelekea uchumi wa viwanda Tanzania ina ulazima wa kusimama imara katika nyanja mbalimbali za ubunifu wa kiteknolojia, uwepo wa nguvu kazi, malighafi, wawekezaji, ambapo tegemezi lake Kubwa ni miundombinu kama vile barabara na umeme ambapo vitu hivi ndivyo vimekua ni gumzo kubwa na kufanya wananchi wasielekeze nguvu zao katika kujiajili.

Hivyo basi kuelekea katika mango mkakati huo na kusiwe na muingiliano wa matumizi ambayo ndio kikwazo chanya ya haya yote na kuelekeza nguvu katika ubunifu wa hawa tulionao mfano huyu aliyegundua umeme wa sumaku ambazo mashine hizo zingetumika katika uwekezaji wa viwanda ambapo pesa kubwa ingetumika kununulia mashine izo kitu ambacho ni rahisi na salama kwa wawekezaji ili huo utokanao na vyanzo vyetu ungebaki katika matumizi ya wananchi pamoja na mataasisi binafsi na Yale ya uma mfano shule, hospitali, nyumba za ibada na hata katika mashirika ya usafirishaji ambayo yatawekeza katika fursa ya maendeleo yaliyoanzishwa na serikali yenyewe "treni za umeme" ili pasiwe na mkanganyiko na muingiliano husababishao mgawo na ongezeko la bei ya huduma hiyo.
Charles
 
Upvote 1
hawa tulionao mfano huyu aliyegundua umeme wa sumaku ambazo
Napenda kujuzwa zaidi kuhusiana na huyu ni nani🤔. Au unamaanisha mgunduzi wa mwanzo kabisa enzi za kina M. Faraday huko?

Naomba ulifanyie kazi hili utakapojazia nyama kwenye shindano linalotaka maneno karibu alfu moja
 
Back
Top Bottom