Tanzania ina vio vikuu vingapi africa mashariki

Tanzania ina vio vikuu vingapi africa mashariki

MZEE SERENGETI

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
214
Reaction score
10
Wana JF Naomba kufahamu kama kuna anaye jua Tanzania ina Branch ya vyuo vikuu vingapi hapa africa.
 
hatuna haja kwa sasa kuwa na branch ya vyuo Africa kaka kwani South Africa ina brach Tanzania???
 
Sidhani kama Tanzania wana branch yoyote nje ya mipaka yake.
 
siasa na elimu ni vitu viwili tofauti. tz ni usanii tu,hamna shule ya kueleweka thats why hapa maprof hawana dili zaidi ya kukimbilia kwenye siasa(gutar politics)!
 
Branch sio issue sana kwani nchi nyingi pia hazina branch ya vyuo vyao nje ya mipaka yao.
 
Back
Top Bottom