Mndengereko One
JF-Expert Member
- Apr 26, 2015
- 340
- 243
Ni maoni yangu nimeona Tanzania tuna wachezaji wawili wa maana ambao hawastairi kucheza Tanzania ila mfumo wetu unaendelea kuwabakisha nawa zungumzia Saidi Ndemla na Faridi Musa hii ni dhahabu hila sitashangaa wakipotelea hapa hapa bongo nikianza na ndemla huyu ni kiungo mshambuliaji aliye kamilika anapiga zenye macho akimiliki mpira uwezi kuuchukua hapotezi mipira siku yeyote atakayo bahatika kupata timu ya kwenda try lazima afuzu tatizo uthubutu wake
Ndumbaro alishawai kumtafutia timu yeye na Frank Sekule wakafuzu baada ya wiki kazaa wakarudi wakasema ujerumani baridi chakumshauri ajenge mwili ni raha sana kumtazama ndemla akiwa na mpira lazima akuburudishe .farid musa winga bora kwa sasa tanzania anajua kupiga chenga ana speed pass zake za mwisho hapigi bila ya kuangalia siku nae atakayopata nafasi ya nje ana asilimia kubwa ya kufuzu naamini ni mchaga mwenye kipaji kuliko wote niliyo wahii kuwaona